Tunaunda chapa inayovutia, kutambulika, na kuaminika

Katika WinPrints, tunasaidia watu binafsi, biashara, taasisi na mashirika kujitambulisha kitaalamu kupitia chapa yao (brand). Tunaamini kuwa chapa bora huanza na muonekano sahihi unaowakilisha maadili, malengo na ubunifu wa mteja. Hapa chini ni huduma zetu kuu za branding:

1. Ubunifu wa Nembo (Logo Design)

  • Ubunifu wa nembo mpya ya biashara
  • Logo ya bidhaa maalum
  • Rebranding – kuboresha nembo ya zamani
  • Logo za matukio maalum
  • Logo animation kwa mitandao ya kijamii

2. Brand Identity Design

  • Rangi rasmi za biashara (brand color palette)
  • Aina ya maandishi ya chapa (typography)
  • Mchoro wa mwonekano wa chapa (visual identity)
  • Mockups na brand style guide

3. Vipeperushi na Brochure

  • Brochure za huduma na bidhaa
  • Tri-fold & Bi-fold brochure
  • Vipeperushi vya promosheni
  • Company profiles & catalogs

4. Business Stationery Branding

  • Kadi za biashara (business cards)
  • Letterheads (karatasi rasmi)
  • Envelop zenye nembo
  • Invoice, receipt na quotation templates

5. Mitandao ya Kijamii (Social Media Branding)

  • Profile & cover design za Facebook, Instagram, TikTok
  • Post templates zenye rangi za biashara yako
  • Highlight icons za Instagram
  • Campaign graphics kwa promosheni

6. Ufungaji wa Bidhaa (Packaging Design)

  • Box layout & design
  • Label za bidhaa (vyakula, vipodozi n.k.)
  • Jar & bottle branding
  • Gift packaging design

7. Mavazi na Sare za Biashara

  • T-shirt branding
  • Aprons na uniforms za wafanyakazi
  • Kofia, hoodies na polo shirts
  • Branding kwenye vitenge au mashati

8. Uchapishaji wa Mifuko (Bag Branding)

  • D-Cut na Loop Handle Bags
  • Mifuko ya karatasi yenye nembo
  • Gift bags & shopping bags

9. Mabango na Signage za Biashara

  • Roll-up & X-Banners
  • Vibao vya maduka & ofisi
  • Sticker za dirishani
  • Menu boards & directional signs

10. Branding ya Magari (Vehicle Branding)

  • Sticker design kwa magari ya biashara
  • Bajaji/tuk-tuk branding
  • Partial or full vehicle wrap

11. Bidhaa za Zawadi zenye Nembo

  • Mugs zilizoandikwa jina/nembo
  • Chupa za maji
  • Flash disks, notebooks, kalamu
  • Keyholders na saa za picha

📌 Tunatengeneza chapa inayokupa heshima ya kitaalamu, kukumbukwa na kuchukuliwa kwa uzito sokoni. Huduma zetu huanzia kwenye ubunifu wa msingi hadi utekelezaji wa mwisho.

UNATAKA KUANZA BRANDING YAKO SASA?

….
🎨 Ubunifu wa kisasa | ✅ Chapa inayotambulika sokoni