Photography

WinPrints, tunatoa huduma za upigaji picha kwa matumizi ya kibinafsi, kibiashara, kifamilia na kijamii. Tunahakikisha kila picha ina hadithi, hisia, na uzuri wa kipekee kwa kutumia vifaa vya kisasa na uzoefu wa hali ya juu.

 1. Picha za Matukio Maalum

  • Sherehe za kuzaliwa (birthday)
  • Graduation (mahafali)
  • Kipaimara, ubatizo
  • Matukio ya familia

 2. Picha za Maeneo (Location Photography)

  • Picha bustanini, ufukweni, au maeneo ya asili
  • Urban & street photography
  • Couple photoshoots
  • Picha za mandhari kwa kumbukumbu

 3. Studio Photography

  • Picha za watu binafsi (portraits)
  • Picha za familia
  • Picha za watoto (baby shoot)
  • Picha za pasipoti

 4. Picha za Biashara (Commercial Photography)

  • Picha za bidhaa kwa matangazo
  • Picha za menu kwa migahawa
  • Picha za nyumba/majengo ya kuuza au kupangisha
  • Picha za ofisi na mazingira ya kazi
  • Content kwa mitandao ya kijamii

 5. Picha za Makampuni na Branding

  • Picha za team/workers
  • Headshots za wafanyakazi
  • Picha za mazingira ya kampuni kwa website
  • Picha za event za kampuni

6. Picha kwa Vitu vya Kumbukumbu

  • Picha kwa picha mbao
  • Picha za picha saa
  • Picha kwa ajili ya kalenda na zawadi

 8. Picha kwa Ajili ya Mitandao ya Kijamii

  • Fashion & model shoots
  • Picha za content creators & influencers
  • Instagram/Facebook/TikTok content
  • Thumbnails za video

 9. Picha za Shule na Taasisi

  • Picha za darasa/vikundi
  • Graduation photos kwa wanafunzi
  • Picha kwa vitambulisho vya wanafunzi au staff

 10. Huduma za Ziada

  • Kuhariri na kurekebisha picha (photo retouching)
  • Kutengeneza photo albums na layouts
  • Uchapishaji wa picha (softcopy & hardcopy)
  • Frame & delivery services

📌 Tunafanya kila tukio lionekane la kipekee – kwa picha bora, kumbukumbu hai, na huduma ya kitaalamu.

🔧 Huduma ya kisasa | 📸 Ubora wa picha za HD | 📦 Picha kwa softcopy & hardcopy