Katika WinPrints, tunaamini kuwa ubora wa uchapishaji ni msingi wa mawasiliano bora ya biashara na mwonekano wa kuvutia. Tunatoa huduma kamili za printing kwa matumizi ya kiofisi, kijamii, kibinafsi na kibiashara kwa kutumia mashine za kisasa na material bora.
1. Uchapishaji wa Vitambulisho (ID Cards)
- Vitambulisho vya shule na vyuo
- Vitambulisho vya wafanyakazi
- ID za matukio (Event IDs)
- Smart ID na PVC Cards
- Lanyards zenye jina au nembo
2. Vipeperushi (Flyers & Leaflets)
- Flyers za matangazo
- Vipeperushi vya ofa maalum
- Leaflets za bidhaa/huduma
- Folded flyers kwa maelezo mengi
3. Brochure na Katalogi
- Brochure za huduma za kampuni
- Katalogi za bidhaa
- Company profile booklet
- Tri-fold na Bi-fold designs
4. Bango (Posters & Banners)
- Bango za harusi, birthday na sherehe
- Mabango ya matangazo ya biashara
- Roll-up & X-banners
- Bango za shule/darasa
5. Business Cards na Kadi Mbalimbali
- Kadi za biashara (Business Cards)
- Kadi za mialiko (Harusi, Birthday, Send-off)
- Loyalty cards na gift cards
- Thank you cards
6. Nyaraka Rasmi za Biashara
- Invoice books
- Receipt books
- Delivery notes
- Quotation books
- LPO forms & letterheads
7. Mavazi ya Kuchapisha (T-shirt Printing & More)
- Uchapishaji wa T-shirts (DTF, Heat Press, Screen)
- Mavazi ya kazi (uniforms, aprons, vitenge)
- Mashati ya kampuni au vikundi
- Hoodies na polo branding
8. Uchapishaji wa Mifuko (Bag Printing)
- Mifuko ya D-cut
- Loop handle bags
- Paper bags (mifuko ya karatasi)
- Gift & shopping bags
9. Sticker na Label Printing
- Stickers za bidhaa
- Labels za chupa, vyombo, vipodozi
- Transparent na barcode stickers
- Jar, bottle & food labels
10. Ufungaji wa Bidhaa (Packaging)
- Box packaging za bidhaa
- Food packaging prints
- Cosmetics packaging
- Customized gift boxes
11. Kalenda & Notepads
- Kalenda za picha binafsi
- Kalenda za ukutani & mezani
- Notepads zenye logo ya kampuni
- Diaries & planners
12. Picha Maalum & Zawadi za Ubunifu
- Picha mbao (Wooden Pictures)
- Picha saa (Clock Pictures)
- Picha kioo
- Mugs, bottles, keyholders n.k.
13. Signage na Mabango ya Duka
- Mabango ya ofisi/duka
- Sticker za dirisha
- Signboards na Menu boards
14. Branding ya Magari (Vehicle Graphics)
- Sticker design za magari
- Vehicle branding kwa biashara
15. Vyeti & Cheti Printing
- Certificate printing
- Appreciation & Participation certificates
- Vyeti vya kampuni au taasisi
📌 Tunachapisha kwa ubora wa hali ya juu, kwa rangi zinazoangaza, na kwa wakati unaohitajika. Unaweza kuwasilisha design yako au tukubunie hadi mwisho.
UNATAKA KUCHAPA SASA HIVI?
